Fuatilia madai yako

Anza kuripoti au kufuatilia madai yako

Karibu Tuwaka

Kuhusu Tuwaka SACCOS

TUMEJIPANGA KUTOA HUDUMA BORA NA KWA WAKATI KWA WATEJA WETU WOTE

Tuwaka ni chama cha ushirika kinachojihusisha na kuweka akiba na kutoa mikopo kwa watumishi. Taasisi hii  ilisajiliwa tarehe 3/5/2006 kwa Na. ya usajili KAR. 519 chini ya Sheria ya Ushirika Na 20 ya mwaka 2003 kama ilivyorejewa na Sheria ya sasa ya Ushirika Na 6 ya mwaka 2013 na kanuni za saccos za mwaka 2015

Ufanisi
Web Designer 99%
Huduma Mbalimbali Tunazozitoa

HUDUMA ZETU

HUDUMA ZETU ZA MIKOPO

Kwa nini utuchague sisi?

Tunatengeneza fursa ya kuwafikia wateja wetu.

Kwa Haraka na Urahisi zaidi

Mwanachama anaweza kupata huduma mbalimbali za chama kwa haraka na urahisi

Sera Bora

Sera zenye kujenga ushirika na kuinua kipato cha mwanachama.

Gharama nafuu

Bidhaa zetu za mikopo hutolewa kwa riba nafuu na inayomuwezesha mwanachama kukuza kipato chake.

Mambo ambayo ungependa kujua kuhusu sisi.

ugawaji wa madawati na viti

Tuwaka SACCOS hushiriki na kujihusisha katika maendeleo endelevu ya jamii katika nyanja mbalimbali. Pia hutoa elimu ya fedha na ushirika, vitu ambavyo huigusa jamii moja kwa moja.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
  1. Mtumishi wa serikali anayefanya kazi katika halmashauri ya Karagwe au kyerwa.
  2.  Mtumishi waliyeajiriwa na TUWAKA SACCOS

Tuwaka SACCOS inatoa huduma mbalimbali ikiwemo HISA, AKIBA, AMANA na MIKOPO.

  • Bidhaa za mikopo ni kama Mkopo wa NIFAE, Mkopo wa MAENDELEO, Mkopo wa FAHARI na Mkopo wa MWEKEZAJI

Tuwaka SACCOS hutoa huduma bora kwa mwanachama kwa kuzingatia umuhumu wake katika jamii.

  • Bidhaa zetu za mikopo hutolewa kwa riba nafuu na inayompa nafasi mwanachama kukuza kipato chake.
machapisho ya habari za hivi punde

Habari na makala za hivi punde kutoka kwenye blog yetu.

Tutumie maombi yako ya mkopo

Hati Safi

Huduma bora

Bima ya Mkopo

Mikopo yetu yote hulipiwa bima

    Limits of Balance:

    $68000

      Limits of Balance:

      $68000

        Limits of Balance:

        $68000

          Limits of Balance:

          $68000

          WordPress Outlet Unicoz – Elementor WooCommerce Theme Unione – University Elementor Template Kit Unipix – University Education WordPress Theme + RTL Unique Hover Effects – VC Addon UnityPress – Community Club WordPress Theme Univero | Education LMS & Courses WordPress Theme Universal – Corporate WordPress Multi-Concept Theme Universal – Full Multi-Purpose Android App Universh – Education Multipurpose WordPress Theme University – Education & Event and Course Theme